Pages

Tuesday, August 30, 2011

MPENDA UKWELI ( I LIKE TRUTH): MAISHA MAFUPI, MAREFU YAMEAHIDIWA PIA, AMINI YAPO

MPENDA UKWELI ( I LIKE TRUTH): MAISHA MAFUPI, MAREFU YAMEAHIDIWA PIA, AMINI YAPO: Wapendwa, nawasalimu kwa heshima mnazostahili. Wakubwa kwangu "shikamooni", jika langu "salama?" wadogo zangu "hamjambo?" Kama ilivyo jad...
FOR ENGLISH SPEEKERS:-
Hello,
I  greet you all with due respect.
As our tradition,  we need to know others condition.
Do you believe that time comes when there is no asking "how are you? Did you sleep well last night? ... How is your family?"

Those types of greetings will be a histoyr. Please read in the Bible, Revelation 21:3-5. These are not my words, I just quote.
There will be no deaths (as it is today, diseases, aging, crime, and hunger). There will be no reason to mourn, because everything will be new.

The Almighty God, by his personal name JEHOVAH (Psalms 83:18: Exodus 6:3-9), He loves us so much! That is why he created the earth with everything we need.
For example, if you need fruit, you find it in different flavor. Just ask yourself, why not put just one type of fruit?
Variety of food, why? Flavours are different types, as well as color. Other things even without, we could still live, but we would not enjoy life.
Ask yourself again: Did God create everything, then lets us live only for a short time , die and loose them?CONCETRATE

 



4 comments:

  1. .Greetings from Finland. This, through a blog is a great get to know other countries and their people, nature and culture. Come take a look Teuvo images and blog to tell all your friends that your country flag will stand up to my collection of flag higher. Sincerely, Teuvo Vehkalahti Finland

    ReplyDelete
  2. Yes, its true Teuvo. Thank you so much for your interest to communicate with friends.
    You are most welcome. If you have any topic you would like to share with friends, please be free to use it in my blog.
    Ciao.

    ReplyDelete
  3. UBINAFSI

    U "mimi kwanza" unatuumiza. Nimeuona u "mimi kwanza" mkubwa sana katika usafiri wa daladala Dar es Salaam kuliko sehemu zingine zote nilizowahi kuzitembelea. Watu tunasukumana kama wanyama!!! Kibaya zaidi, mtoo, mjamzito, mzee, mgonjwa, mlemavu, n.k. hakuna kuwapa kipa umbele. Ni watu wachache sana wanaowafikiria hawa na kuwapa nafasi ya kwanza.
    Kwa mfano:
    1.Daladala inafika kituoni, watu ni wengi na wameshasubiri kwa muda mrefu. Hakika wamechoka, wamechelewa na mambo yao yanaharibika. Lakini wakati wa kupanda, aliyemkuta mwenzake kituoni, anataka apande kabla ya yule aliyetangulia kufika kituoni.
    2. Mtu ana mizigo kidogo, anataka kupanda kwenye daladala, kondakta anamwambia mizigo inaziba nafasi ya watu kusimama, aipakate. Mara nyingine mizigo inaumiza kuipakata, inafika mpaka karibu na usoni, ina ubaridi wa barafu au umaji maji fulani. Mtu analazimika kuupakata, ili kondakta apate nafasi ya kuwashindilia zaidi abiria.
    3. Usiku, kondakta anagoma kutoa tiketi, anachukua nauli kubwa kuliko kawaida, anakauka tu kama vile hajafanya jambo la ajabu,, na tiketi anazo. Kwa tukio baya, Watanzania wengi hatujui umuhimu wa tiketi, tunadhani ni uthibitisho tu kwamba umelipa nauli. Je, ikitokea aksidenti, au ukisahau mzigo kwenye daladala, utatambua ni ipi ulipanda? Je, watu wa Bima wakidai ili wakulipe fidia, utawapa nini? Mtu mmoja akilalamika, abiria wenzake wanamshambulia: "Wewe kama hutaki kulipa hiyo nauli kubwa shuka utembee kwa miguu," au "si ungenunua gari lako? au si upande taxi kama hutaki tabu? au sisi bora tufike nyumbani bwana". Tunalea makosa sisi wenyewe!!!
    Huyu kondakta akishapata kiwango cha kumkabidhi tajiri, yaani mwenye hiyo daladala, inayozidi yote ya kwao na dereva, ndio maana haoni umuhimu wa tiketi.
    4. Dreva/kondakta amelewa, anaendesha gari kwa fujo, hujapanda sawasawa anaondoa gari, mtu anadondoka, konda badala ya kukupa pole, anakuambia tunawahi kuna "mchawi" anakuja. Kumbe wanafukuzana kunyang'anyana abiria. Hajali usalama wa abiria, anachojali ni maslahi tu!!! Kasahau kabisa kwamba hao hao abiria ambao anawapeleka hovyo sasa hivi, ndio wanaompa pesa za nauli naye apate maslahi.
    5. Mnapangwa wawili wawili kwenye njia nyembamba ndani ya daladala. Mnageukia madirishani, mwanaume na mwanamke wanakandamizana makalio. Mume wa mtu, mke wa mtu, mchumba wa mtu, mwanafunzi, mkwe, mjomba, n.k. Yaani AIBU TUPU!!!

    Hii ni mifano michache tu, ipo mingi. Je, nini kifanyike ili Watanzania tuwe na ustaarabu kwenye usafiri wa daladala?
    Kenya na Uarabuni wameweza. Je, wao wamewezaje? Maoni yako ni muhimu sana, na nitajitahidi kuyafikisha kwa wahusika. Kama suluhu haikupatikana leo, itapatikana kwa wajukuu au vitukuu vyetu.

    ReplyDelete
  4. Salaams! Naomba mawazo yenu wapendwa. Hizi daladala ambazo zimechakaa vibaya, na bado ziko barabarani nini kifanyike?

    Vile vile, kuna daladala za maeneo ya nje ya mji, kwa mfano zinazotoka Kimara-Mwisho kwenda Bonyokwa. Zimechoka kiasi ambacho zinahatarisha uhai. je, kwa nini Traffic Police hawafiki huko?

    Au uhai unaangaliwa kwenye lami tu?

    ReplyDelete