Pages

Saturday, November 24, 2012

"Midomo yangu itapiga vigelegele kwa shangwe" - Zaburi 71:23

Kazi ya Yeremia ya kujenga na kupanda ilizaa matunda. Wayahudi fulani na vilevile watu wasio Waisraeli waliokoka kuharibiwa kwa Yerusalemu mwaka 607 Kabla ya Wakati wa kawaida.     Tunajua kuhusu Warekabu, Ebedmeleki, na Baruku. (Yeremia 35:19 ; Yeremia 39:15-18 ; Yeremia 43:5-7) Marafiki hao wa Yeremia waliokuwa washikamanifu na wenye kumwogopa Mungu, wanafananisha vizuri leo wale walio na tumaini la kuishi duniani, ambao wanasitawisha urafiki na jamii ya Yeremia. Jamii ya Yeremia inafurahia sana kuujenga kiroho 'umati mkubwa'. (Ufunuo 7:9) Vivyo hivyo, waandamani hao washikamanifu wa watiwa-mafuta wanafurahi sana kuwasaidia watu wenye mioyo minyoofu kupata ujuzi juu ya kweli. Watu wa Mungu wanaelewa kwamba kuhubiri habari njema si huduma tu ya hadharani kwa wale wanaosikia ujumbe huo, bali pia ni tendo la ibada kwa Mungu wetu. Iwe watu watatusikiliza au hawatatusikiliza, kumtolea Yehova utumishi mtakatifu kupitia kazi yetu ya kuhubiri, kunatuletea shangwe kubwa - Warumi 1:9.

Tuesday, August 28, 2012

A God Blessed Tanzania.

Tanzana is Blessed with several beautiful geographical views. Surprisingly,  alot of citizens have not been to those areas, while people from outside Tanzania struggle and manage to visit. This idea has to be planted deeply in our children's mind, that natural environment is beautiful and should be visited by both, Domestic and International people.
Its you and me, who should implement this. Not necessary to travel very far. Even in our nearest areas we have ancient sites with historical records.
Please be one of the team of this vision. To conserve our environment, at same time to fell its value.

Thursday, June 7, 2012

http:/www.kilimanjaroserengeti.blogspot.com

June is on, for Mt Kilimanjaro climbers, its high time to re-confirm your reservations.

Friday, June 1, 2012

The season at the corner

Hello!!! Just to remind all Kilimanjaro climbers and Adventure heroes that the high season is almost arriving. This will be from June to Sepember. Please confirm your bookings for smooth services. We need to confirm third parties's services too.

Welcome - Karibu.
M.D. s desk.

Thursday, February 16, 2012

Sala ya kielelezo, sala ya Bwana - Mathayo 6:9,10

"Baba yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe......... Ufalme wako uje...........Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama Mbinguni" Jina hilo la kutukuzwa ni la Yesu au Yehova? Je, watu wema wanakwenda mbinguni kufanya nini wakati Yesu alisema tuombe Ufalme wa Mungu uje hapa duniani? Mapenzi yanayotimizwa Mbinguni ni yapi? Ambayo tunaomba yatimizwe na hapa duniani? Naomba mchango wenu rafiki/ndugu zangu. Kisha nami nitatoa wa kwangu. Kadri tunavyochangia, tunajengana kiroho. Hatubishani, ila tunaelimishana tu. Karibuni. Mathayo 6:9,10.